×
Show that you appreciate our hard work. Let us reach that 300 shares on facebook to enable "Ze Charts". Your support matters to us.

ZELYRICS


Last Added

Fire (ft Tiwa Savage) Diamond Platnumz
I miss You Diamond Platnumz
Wanakutamani Rich Mavoko
Mbeleko Ray Vanny
Tatu (ft Darassa) Ben Pol
Ma Ole (& Gnako ) Belle 9
Come Closer (ft Drake) Wizkid
Fall Davido
Hasara Roho Darassa
Tuachane Lava Lava
Anameremeta Nuh Mziwanda
Uko Avril
Zezeta Ray Vanny
Usiitie Doa (ft Khadija Kopa) Aslay
Happy Birthday Harmonize

New

Fire (ft Tiwa Savage) - Diamond Platnumz

Diamond Platnumz Aga, you’re my sexy arose eh Utamu zaidi ya vanilla Yaani cookie wa mose Kama pochi na ngawila Sa nipatie dose eh Kasi itaja nipalila Usinifanyie ya jose eh Tange tange kajamila I say, you fire baby Fire fire fire fire baby Fire oooh (Fire fire fire fire) baby Your love is sweet oh (Fire fire fire fire) baby Tamu mpaka mwisho (Fire fire fire fire) baby Ah ah, fire ooh (Fire fire fire fire) baby Fire baby (Fire fire fire fire) baby Akicheka sura ya kitoto (Fire fire fire fire) baby Akinigusa kabisa ndo moto (Fire fire fire fire) baby Diamond Platnumz Was...

Read More »

I miss You - Diamond Platnumz

Hello hapo vipi sijui unanisikia Hello nnamaneno natamani kukwambia Hello tafadhari usije nikatia Hello ona mpaka nasahau kusalimia Habari ghani leo nmekukumba sana Na mama yangu twakuwazagaa Vipi nyumbani hali ya mumeo na wana Na aunty Shani wa chimwagaa ah ah Kile kidonda changu cha roho bado kinanitia tabu Nnajitaidi kukaza roho ila nadhidisha adhabu Tena silali oh nasubiri maajabu Maumivu yangu hayajapata dawa Mana I miss you nakukumbuka iye iyeh I miss you nakukumbuka iye iyeh I I miss you nakukumbuka iye iyeh I miss you nakukumbuka iye iyeh Na roho yangu mama bingili bingili Ah ni...

Read More »

Wanakutamani - Rich Mavoko

Naomba utunze heshima ulilinde na jina Nimekukabidhi mtima aliyenipa Karima Yote nimekubali mimi Mi niko tayari niamini Nikiwa chizi ni wewe Aaaaahhhe eeeeehhh we ndo sababu!!! Sitaki moyo wangu uchezewe Aaaaahhh eeeeehhh ntapata tabu!!! Nachotaka kuzaa na wewe Aaaaahhh eeeeehhh pendo lako la dhahabu Nije kuzeeka na wewe Aaaaahhh eeeeehhh bibi na babu Wanakutamani hao wanakutamani hao Wanakutamani hao mwenzako nia ninayo Wanakutamani hao (mi nawajua baby) Wanakutamani hao (watakuchezea mama) Wanakutamani hao (wakishakuvua baby) Mwenzako nia ninayo (watakuacha solemba) Mi na wewe waarab...

Read More »